Nahitaji line za Tigopesa, M-Pesa na Airtel Money

bintimzalendo

Member
Joined
Feb 27, 2014
Posts
74
Reaction score
30
habari wanajamii forum. nahitaji line za mpesa, tigo pesa na airtel money. nipo mwanza .
0652436216
 
Kua makini bintimzalendo kuna jamaa yangu alinunua line ya tigopesa kwa mtu hivyohivo ile ameirechrge line ikawa imeshushwa mnara.
Kifupi katapeliwa.
 
Last edited by a moderator:

huyo ni mzembe angetest kutoa na kuweka
 
Last edited by a moderator:
huyo ni mzembe angetest kutoa na kuweka

Ni hivi. unanunua till ambayo iko active unaitest na kila kitu iko sawa. Unaitumia then baada ya muda yule aliyekuuzia anaenda tigo anareport kua ameipoteza so ana renew ile namba anachongesha till mpaya yako inakua inactive na endapo hukubadilisha pin number hata ile float uliyoiweka anaweza itoa
 
Call me 0753069562 for Tigo pesa 350000 and max malipo if you want
 
habari wanajamii forum. nahitaji line za mpesa, tigo pesa na airtel money. nipo mwanza .
0652436216

Umeandaa sh. ngapi bintimzalendo. niko mwanza pia na ninazo hizo zote ila za tigo zimeisha. mpk next wk
 
Ni hivi. unanunua till ambayo iko active unaitest na kila kitu iko sawa. Unaitumia then baada ya muda yule aliyekuuzia anaenda tigo anareport kua ameipoteza so ana renew ile namba anachongesha till mpaya yako inakua inactive na endapo hukubadilisha pin number hata ile float uliyoiweka anaweza itoa

mshadanganyana kwenye vijiwe vyenu vya kahawa
line ikipotea unawasiliana na team leader wako sio unaenda tigo. tigo Hawausiki direct na matatizo ya mtu mmoja mmoja baada ya kumuuzia
na unaanzaje kuumpa mtu laki sita bila maandishi yoyote

ukinunua line unauitaji vitu viduatavyi

namba ya wakala
namba ya siri
puk
jina la wakala
mda wa line ilipoanza kutumika
namba ya team leader huyu ni mtu mmoja anaeshugulikia watu kadhaa wa tigo pesa kama 10 hivi tatizo lolote unaanza nahuyu akishindwa yeye ndio anawapigia makao makuu
 
Ni hivi. unanunua till ambayo iko active unaitest na kila kitu iko sawa. Unaitumia then baada ya muda yule aliyekuuzia anaenda tigo anareport kua ameipoteza so ana renew ile namba anachongesha till mpaya yako inakua inactive na endapo hukubadilisha pin number hata ile float uliyoiweka anaweza itoa

huu ni uongo mtakatifu huwezi kuchongeshaline inayotumika wanachofanya wanaifuatilia kujua anaetumia yupo wapi kisha anakamatwa kwa wizi hadi mahakaman
 
Back
Top Bottom