Nahitaji line ya airtel money .

Nahitaji line ya airtel money .

Fundi umeme

Senior Member
Joined
Jun 17, 2016
Posts
116
Reaction score
24
Kama kichwa kinavyojieleza hapo juu natafuta line ya airtel money iliyo kazini na ww ndo uwe mmiliki kama hauifanyii biashara kwa sasa na naomba iwe na document zote halali za umiliki wake mawasiliano 0753505115 na 0715505115 niko dar kimara.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Zipo. Bei 160k karibu kama upo tayari nikupigie tuongee.
 
Back
Top Bottom