Nahitaji leseni

Nahitaji leseni

Haya kijana nimeona comment zako mbalimbali sasa maelekezo ni hivi
nenda ofice za tra waambie nataka leseni
hapo utaambiwa ukate leseni ya lena 10000/=

Utalipia grr 3000 hii ni taste fee kisha nenda ofisi za police wa usalama wa barabarani yani kwa (rto) hapo utapata maelezo kamili kua lini utafanya taste baada ya taste leseni yako itapasishwa na vehicle utaenda tra utalipia 70000 utapata leseni
pia cheti chako nimekiona je chuo ulicho somea udereva kimesajiliwa kama ni ndio basi chet hakina shida
 
Asante mkuu
 
uzi uishie hapa umempa maelekezo sawa kabisa.
 
Kama nataka kuongeza class natakiwa nifuate utaratibu gani?
 
Mzee, kupata leseni sahivi ngumu sana. Kirenew tu msala, imagine mpya.
𝙄𝙡𝙞 𝙪𝙥𝙖𝙩𝙚 𝙡𝙚𝙨𝙚𝙣𝙞 𝙝𝙖𝙠𝙞𝙠𝙞𝙨𝙝𝙖 𝙪𝙣𝙖 𝙘𝙝𝙚𝙩𝙞 𝙘𝙝𝙖 𝙠𝙪𝙝𝙞𝙩𝙞𝙢𝙪 𝙢𝙖𝙛𝙪𝙣𝙯𝙤 𝙠𝙪𝙩𝙤𝙠𝙖 𝙫𝙮𝙪𝙤 𝙫𝙞𝙣𝙖𝙫𝙮𝙤𝙩𝙖𝙢𝙗𝙪𝙡𝙞𝙠𝙖 𝙠𝙞𝙨𝙝𝙚𝙧𝙞𝙖 (𝙙𝙧𝙞𝙫𝙞𝙣𝙜 𝙨𝙘𝙝𝙤𝙤𝙡) ,𝙡𝙠𝙣 𝙥𝙞𝙖 𝙪𝙬𝙚 𝙪𝙢𝙚𝙡𝙞𝙥𝙞𝙖 𝙜𝙝𝙖𝙧𝙖𝙢𝙖 𝙯𝙖 𝙢𝙖𝙟𝙖𝙧𝙞𝙗𝙞𝙤 𝙮𝙖 𝙝𝙪𝙤 𝙪𝙙𝙚𝙧𝙚𝙫𝙖 𝙬𝙖𝙠𝙤 𝙠𝙬𝙖 𝙬𝙖𝙡𝙚 𝙥𝙤𝙡𝙞𝙘𝙚 𝙪𝙨𝙖𝙡𝙖𝙢 𝙗𝙖𝙧𝙗𝙧𝙣
 
Kama nataka kuongeza class natakiwa nifuate utaratibu gani?
Nenda tra na chet chako class husika waambie nataka class fulani utakata lena ya class husika uta lipia na grr utaenda kwa vehicle utafanya test then utapasishiwa leseni husika.
Swali je leseni yako imekwisha muda wake au bado?
 
Vipi kwa mtu mwenye tatizo la usikivu(sio kiziwi) leseni anapata au hapati??
Kisheria mwenye matatizo haya hapaswi kua dereva wa gari.
Kiziwi,
Mwenye ulemavu wa viungo hasa mikono na miguu,
bubu.
Mwenye uoni khafifu.
Lakini jaribu kwenda veta ilio karibu nawe uone watakusaidia vipi.
Nb. Leseni haitolowi kama huna cheti cha udereva na ndio maana nimekutaka uende veta
 
Sio kiziwi totally ni upungu tu wa usikivu na kwendw Veta au driving achool unafikiri watakataa pesa lazima wakoleze inshu ni mamlaka inayotoa izo leseni..majaribio ya hao askari
 
chief nashukuru ila kwanza ondoa khofu veta ukijitambulisha tu kua unatatizo fulani wanatoa ushauri vizuri
pili kama usikivu wake sio watabu sana yani ni tatizo la wastani leseni anapata kwanza hata taste zao ni simpo mno sio za kujibizana hapana
mfa
Sio kiziwi totally ni upungu tu wa usikivu na kwendw Veta au driving achool unafikiri watakataa pesa lazima wakoleze inshu ni mamlaka inayotoa izo leseni..majaribio ya hao askari
askar hawana neno chief kama ni sio mzito sana kusikia
pia nakushauri kama uko dar es salaam veta ya serikali ya changombe kuna walimu wanao fata taratibu kwa kiwango chake wanaweza kukupa ushauri mzur kabla hujalipia.
Kuna kijana alikuja kutaka kujifunza udereva na kalipia kabisa yeye alikua mzito sana kusikia lakin walim walimuombea wakamuamisha idara ya fani nyingine.
Kwa hiyo walimu wakimuona jamaa huyo watajua tu kama inawezekana au la.
Usiingie khofu
 
Back
Top Bottom