Isanga family
JF-Expert Member
- Feb 25, 2015
- 20,495
- 41,182
Sio ujanja maana mnakua hamjui sheria za bara barani wengine huku tunakua tunaendesha magari mawili kwa kumwambia asipite mbele umeona hataweza kuyamaliza ila kwa udereva wa mtaani unaweza ila huku UEFA mnatusumbua mno mno na kusabisha ajali za kizembe...Kwa hiyo sisi tuliopata leses within two days Tena bila usumbufu wa vyeti tulipita kwenye tundu la sindano?
Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app