Nahitaji nguruwe Mwanza

Nahitaji nguruwe Mwanza

babampigi

JF-Expert Member
Joined
Mar 19, 2013
Posts
364
Reaction score
312
Habari wadau, Naomba msaada kwa mtu yeyote anaejua wapi naweza pata watoto wa nguruwe Mwanza. Nahitaji kununua Kama 30-50 inategemea na bei Kama tutaelewana. Naomba namba au ni PM. Natanguliza shukurani
 
Nguruwe ni wanyama wanaoishi kifamilia. Ukiwachanganya wa makundi tofauti hupigana na kuleta vifo. Idadi ya nguruwe 5-7 kwa kila banda la mita 8 za mraba hula na kuishi vizuri. Hawaishi kama n'gombe kwenye zizi moja. Nakushauri uanze na nguruwe wachache eg 10. Nguruwe huanza kuzaa akiwa na miezi 8. Huzaa baada ya siku 93-95 na unaweza kuwaachisha baada ya siku 60. Mwezi baada ya kumwachisha anaweza kupandwa. Kwa hali hiyo ndani ya mwaka waweza kuwa na zaidi ya hamsini. Pia kuanza na wachache utapata uzoefu wa utunzaji.
 
Habari wadau, Naomba msaada kwa mtu yeyote anaejua wapi naweza pata watoto wa nguruwe Mwanza. Nahitaji kununua Kama 30-50 inategemea na bei Kama tutaelewana. Naomba namba au ni PM. Natanguliza shukurani
Nipe namba yako nimpe MTU mza akupigir
 
Nguruwe!!!!??
1474549353502.jpg
tutakua Mwanza Tarehe 30 had Tarehe 3 kwa mnada
 
  • Thanks
Reactions: MC7
Pole, kumbe kashapata oda, bado anao ila kuna MTU ameshalipia.
 
Kwa walio mwanza au wenyeji wa mwanzs wanisadie sehemu ambapo ntapata kazi yoyote ile ambayo haina uhitaji wa vigezo vya elimu
 
Back
Top Bottom