Nahitaji Laini ya VIETTEL...

Kama upo kilimanjaro ni kwamba upo Tanzania, sehemu za kusajili laini zipo kibao tu kwenye vibanda vya huduma za kutoa pesa.

Jisajili kwa kitambulisho chochote hata kama ni passport.

Kila mtu anajisajilia laini yake kwa sababu za kiusalama.
 
mkuu nahisi hujanielewa.
 
Kama upo kilimanjaro ni kwamba upo Tanzania, sehemu za kusajili laini zipo kibao tu kwenye vibanda vya huduma za kutoa pesa.

Jisajili kwa kitambulisho chochote hata kama ni passport.

Kila mtu anajisajilia laini yake kwa sababu za kiusalama.
wapi wanasajili laini za viettel hapa Tanzania?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom