Nahitaji kwa anayeuza Playstation game

Nahitaji kwa anayeuza Playstation game

Webb

JF-Expert Member
Joined
Oct 4, 2016
Posts
425
Reaction score
884
Wakuu nina shida na PS, Kwa yeyote anaeuza tafadhali.
Iwe poa bila matatizo yeyote
PS 2 au PS 3
 
Ukikosa hapa, tembelea tovuti ya Kupatana.com kwa msaada zaidi mkuu
 
NAKUTUMIA NAMBA ZA JAMAA YUKO ZENJI LAKINI.ANAZO KIBAO MKUU
 
Ps4 ipo kwa laki 420 unapata cd ya fifa 17 na pad 1
 
Kuna Play station2.ziko mbili zimekamilika na pad moja kila moja.ziko moro.
 
Back
Top Bottom