Nahitaji kwa anayeuza Playstation game

Webb

JF-Expert Member
Oct 4, 2016
425
883
Wakuu nina shida na PS, Kwa yeyote anaeuza tafadhali.
Iwe poa bila matatizo yeyote
PS 2 au PS 3
 
Kuna Play station2.ziko mbili zimekamilika na pad moja kila moja.ziko moro.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom