Credere Potest
JF-Expert Member
- Feb 26, 2016
- 217
- 298
Habari ya leo waungwana, bila shaka wote mpo wazima kabisa, nahitaji kuwasilana na Dr.W Slaa nafahamu kwa sasa hayupo nchini basi yeyote ambaye anaweza akanisaidia Email ya DR. au njia yoyote ile ambayo naweza nikawasiliana na DR, kwa urahisi nitashukuru sana nina shida zangu binafsi tu naombeni mnisaidie please!