Nahitaji Kuwa Nje Ya Toyota!!!!

babalao 2

JF-Expert Member
Apr 6, 2012
5,421
3,287
Wakuu Heshima.

Katika pitapita huku na kule ningehitaji tufahamishane Mawili matatu.
Je ni gari gani za Ama Europe au America ambazo kwa Bongo ukiwa nayo huwezi jutia sababu spare zipo kana kawaida?

Na je kwa Gari za Japan ni Toyota tu au kuna zingine ambazo spare si tatizo?

Ama tuendelee kuendesha saresare Maua!!!
 
Chukua Audi za mjerumani bei ni sawa tu na toyota zilozoeleka hutajuta maana zishaanza kuingia kwa kasi Bongo speed 220.kama hii hapa chini.
Screenshot_20170513-083912.png
Screenshot_20170513-083920.png
 
Cc chini ya 2500 inafaa mkuu ila zaidi ya hapo zinabugia sana mafuta chini ya 2500 ni kawaida pia zina perfomance na spare zipo nyingi tu original pia zinadumu hizi gari ata ukitaka kuuza unauza haraka tu.
 
Hapo napo n mtego
Mimi kama muuzaji magari, nimeshakutana sana na changamoto za wateja kuniomba ushauri. Wanatamani sana kuwa nje ya toyota lakini kancho watatiza ni mafundi.

Jibu langu huwaga ni moja

Unapaswa kuhakikisha kwamba, muda wa service unalipeleka moja kwa moja kwenye kampuni husika kwa service ya uhakika zaidi.

Yaani kama ni nissan au vw, basi service unapeleka tu cfao.

Hapo utafaidi.
Ila ukisema upeleke uchochoroni, itakua ni hasara.
 
audi a4 ya diesel kwa mafuta ni kiboko inakula taratibu kuliko passo ...ubora plus spear ndo sijui
Kweli mkuu gari za audi hasa A4 nimeendesha siku so nyingi hizi gari nzuri sana kuanzia mafuta speed kubwa na tunachelewa sana kwa kung'a2nia toyota angali hazidumu.
 
Unapaswa kuhakikisha kwamba, muda wa service unalipeleka moja kwa moja kwenye kampuni husika kwa service ya uhakika zaidi.

Yaani kama ni nissan au vw, basi service unapeleka tu cfao.

Hapo utafaidi.
Ila ukisema upeleke uchochoroni, itakua ni hasara.
Huu ushauri uliotoa ni mzuri ila sio watumiaji wa magari wote wapo Dar, hadi wazipeleke gari zao sehemu kama CFAO.
 
Tanzania bado sana tumelazimishwa na Mafundi tutumie toyota ila Mnatukwaza panueni wigo enyi Mafundi
 
Back
Top Bottom