20PROFF
JF-Expert Member
- Nov 5, 2013
- 8,217
- 7,261
Muulize huyu jamaa nakupa email yake unenesioishu@uzembe.com
kuwa na pesa mpaka ya ziada , then kila siku upate mlo mzuri wa mafuta , kama chipsi , nyama choma ,bia na mayai ya kuchemsha . bia kunywa chupa 1 au 2 ambazo ziko katika older fermentation temperature than ales , au zinazoitwa LAGER . hasa zile zenye yeast that flocculate to the bottomnfanye nini wakuu msaada wenu >