Nahitaji kutengenezewa website

Mi naona ifike wakati jukwaa hili tukubaliane katika hili, kwa sababu inaniwia vigumu kwamba kuna kampuni hapa dar wanatengeneza web bei ya chini laki nne na juu mpaka mil 2.5, sasa inapotokea mtu anasema ana-design website bure! hilo ndilo nashindwa kulielewa, naombeni ufafanuzi wenu tafadhari.

website inaweza kuwa tu anatoa free installation, au free hosting ya disc space ndogo kwa ajili ya personal webs.. Mfano Create a free website in minutes
 
Mi naona ifike wakati jukwaa hili tukubaliane katika hili, kwa sababu inaniwia vigumu kwamba kuna kampuni hapa dar wanatengeneza web bei ya chini laki nne na juu mpaka mil 2.5, sasa inapotokea mtu anasema ana-design website bure! hilo ndilo nashindwa kulielewa, naombeni ufafanuzi wenu tafadhari.

hiyo inawezekana kabisa hapo ndo utajua It can never be a full professional.i have my cousin std 6 inaweza kudesign web kwa namna ya ajabu,,ametengeneza web ya hotel yao you will never believe so mtu akisema anatengeneza bure to me is not a suprize
 
Aise! Nipe link ya hiyo web mkuu.
 
Mi naona ifike wakati jukwaa hili tukubaliane katika hili, kwa sababu inaniwia vigumu kwamba kuna kampuni hapa dar wanatengeneza web bei ya chini laki nne na juu mpaka mil 2.5, sasa inapotokea mtu anasema ana-design website bure! hilo ndilo nashindwa kulielewa, naombeni ufafanuzi wenu tafadhari.
Kwa Tanzania watu huangalia tu sura ya website. Kuna zaidi ya hapo kunwa vitu kama
1. Security and Security maintanance. Hapa kuna security ya web yenyewe na pia itahitaji kuwa updated after time ku-fix sec holes
2. Usability: Ni kiasi gani iko user-friendly na urahisi wa kupata unachotaka bila mgogoro
3. Optimization: Ina kasi kiasi gani pia Search engine optimization, Backend database optimization (balancing btn query speed and db normalization)
4........

Sasa kama unadesign tu ktk photoshop na ku-translate ktk html na kuongoza PHP code za uongo na kweli, hata elfu 20 utadai. Kinyume na hapo labda utoe sadaka na sio biashara
HTH
 
hiyo inawezekana kabisa hapo ndo utajua It can never be a full professional.i have my cousin std 6 inaweza kudesign web kwa namna ya ajabu,,ametengeneza web ya hotel yao you will never believe so mtu akisema anatengeneza bure to me is not a suprize
It can never be profession? Kwani mbona mi naweza kuamua kesi na bado Law is a profession?
Joking? Kwa taarifa tu kuandika markup na kukopi code toka web tutorials na kuziunga unga ni rahisi...kufanya kitu serious ndio issue
......And it is a profession!
 
Safi mkuu, ndiyo maana nimemuomba anipe link ya hiyo web mpaka leo hajatoa, hawa ndio wale wanatumia free ready made templates kazi yao ni kuweka picha na words basi kazi kwisha, wanacreate na siyo kudesign. Tusifanye mzaha na kazi za watu jamani.
 
hiyo inawezekana kabisa hapo ndo utajua It can never be a full professional.i have my cousin std 6 inaweza kudesign web kwa namna ya ajabu,,ametengeneza web ya hotel yao you will never believe so mtu akisema anatengeneza bure to me is not a suprize

Lete hiyo link mkuu, mbona umepotea?
 
Hivi mtu kudesign and kuandika Mtandao kwa laki 1 unapata faida gani ati? Naomba msaada!
 
Back
Top Bottom