Nahitaji Kutengenezewa Website

Nahitaji Kutengenezewa Website

KIJANA2013

JF-Expert Member
Joined
Jan 21, 2013
Posts
466
Reaction score
201
Habari Wana JF

Napenda kuchukua nafasi hii kuwatangazia wataalamu wa kutengeneza Website ya Kampuni. Ni kampuni itakayohusika na mauzo ambayo wateja wataweza kulipa kwa kutumia Mobile Money System. Hivyo inatakiwa iwe na sifa zifuatavyo:-

1. Aweze kutumia API (Application Programme Interface) ambayo itaweza ku-link website na namba yangu ya simu. Preferred API ni ya TIGO.

2. Lazima itumie Search Engine Optimization (SEO)

3. Hosting. Iwe hosted kwa provider wa kulipia, sihitaji free hosting na inatakiwa kuwa masaa 24/7

NB: Hii ni website ya kampuni hivyo nahitaji A serious, experienced, knowledgable and competitive Web Designer, sio uje kujifunza kazi kwangu.

Nawasilisha
 
Nimekutumia PM mkuu.
 
Back
Top Bottom