Nahitaji kutengenezewa App ya site yangu

Mapensho star

JF-Expert Member
Jun 30, 2016
3,052
4,075
Napata changamoto huku Nipo mkoani huku web designer siwaoni huku tayari nina site hii Gulio Store ya kuuza na kununua nahitaji mtu aiconvert kuwa App ila nahitaji mtu ambaye amesajiliwa na jf kama sio hivyo mtu pia unaweza ukatengeneza ukishamaliza mimi nalipia
 
iyo app ipo poa ila tatizo lipo jinsi ya kuidesigen mzeya fanya kumcheki mkwawa atakupa maujanja raia
 
Napata changamoto huku Nipo mkoani huku web designer siwaoni huku tayari nina site hii Gulio Store ya kuuza na kununua nahitaji mtu aiconvert kuwa App ila nahitaji mtu ambaye amesajiliwa na jf kama sio hivyo mtu pia unaweza ukatengeneza ukishamaliza mimi nalipia
Kesho nakutengenezea, nakurushia utest then useme kulingana na hitaji lako
 
Mkuu naomba tuwasiliane 0759702766 Ipo tayari apk ya website yako hapa nashindwa kuiupload nicheki nikutumie kwenye email au whatsapp then tuongee price na nikuwekee one signal matangazo km utahitaji.
 
Back
Top Bottom