Technophilic Pool
JF-Expert Member
- Jan 18, 2024
- 3,104
- 4,565
Project hiyo hapo
Nachohitaj mtaalamu anidavulie
Gharama na nini cha kufanya
Nachohitaj mtaalamu anidavulie
Gharama na nini cha kufanya
Misumari ya nnUna misumari hapo?
Na naniUmerogwa?
Na nani
Open AIItakuwa CCM
Ya kutengeneza AIMisumari ya nn
Ni nomaUmerogwa?
kwani mamba kasema pesa ni shida kwake?Kutengeneza mfumo kama chatgpt sidhani kama unaweza kumudu na sio KAZI ya mtu moja au wawili kuanzia maandalizi ya data mpaka training, DeepSeek ni model iliyosifiwa kutumia gharama ndogo mpaka kukamilika, gharama ikiyotumika ilitumika dola milioni 6, gtp-3 model jumla ya gharama ilienda dola mil 27
Unaweza kujifunza Kwa kuanzia na gpt-2 ambayo ni opensource
Hakuna sehemu niliyomwandikia mamba, sijui unamaanisha nn
typo chief, nilikuwa namaanisha mwamba,Hakuna sehemu niliyomwandikia mamba, sijui unamaanisha nn
Hivi bongo haiwezekan kufanya fund rising mpaka kufikia hapo ? Tukumbuke kuna vitu wazungu wametumia gharama huku unaweza kupata bure. Mfano lugha asili huku kwetu haziitaji pesa.Kutengeneza mfumo kama chatgpt sidhani kama unaweza kumudu na sio KAZI ya mtu moja au wawili kuanzia maandalizi ya data mpaka training, DeepSeek ni model iliyosifiwa kutumia gharama ndogo mpaka kukamilika, gharama ikiyotumika ilitumika dola milioni 6, gtp-3 model jumla ya gharama ilienda dola mil 27
Unaweza kujifunza Kwa kuanzia na gpt-2 ambayo ni opensource
Ili uanze kuandaa kutengeneza vitu vya kipuuzi.Project hiyo hapo
Nachohitaj mtaalamu anidavulie
Gharama na nini cha kufanya
Upo sawa kabisa, mtindo ambao ume-sajesti mfano wa vitabu ndio DeepSeek waliutumia unaitwa distillation yaani unanyonya maarifa ya model nyingine(deepseek walinyonya ya openai) halafu ww unaiboresha zaidiHivi bongo haiwezekan kufanya fund rising mpaka kufikia hapo ? Tukumbuke kuna vitu wazungu wametumia gharama huku unaweza kupata bure. Mfano lugha asili huku kwetu haziitaji pesa.
Hiitaji kukiweka kiswahili ktk AI kwa gharama kubwa kuliko wazungu ambao walilazimika ku ajiri watu. Kitu kingine hizo hizo AI zilizopo zinaweza kukupaa taarifa nyingi za kukusaidia kujenga AI yako. Ni sawa ja watunga vitabu, hutumia vitabu vya wenzao kutunga kitabu kipya.
Waone CCMProject hiyo hapo
Nachohitaj mtaalamu anidavulie
Gharama na nini cha kufanya