wa kibondemaji
Member
- Aug 1, 2024
- 31
- 54
mara gamondi kafukuzwa🤣🤣, ila mi.kiukwel niko tayari maan hat kaz nnayofanya inanipa muda mwing sana wa kufanya mambo mengine mengi sanaKusoma online inahitaji moyo, umetulia zako unasoma zinakuja video za Balthazar.
Inahitaji kujitoa kwakweli
Gharama za cheti huwa ni kiasi gani mkuu?
- Kozi Zenye Vyeti:
- Coursera, edX, Udemy na LinkedIn Learning hutoa kozi zinazotolewa na vyuo vikuu na taasisi maarufu, na baada ya kumaliza, unapata vyeti vinavyotambulika.
- Gharama: Kozi nyingi zina malipo ya kati ya $30 - $100 kwa mwezi au kozi, ingawa kuna kozi za bure zinazotoa vyeti kwa malipo.
- Kozi za Bure:
- Tovuti kama Khan Academy, Google Career Certificates, na MIT OpenCourseWare hutoa kozi bure bila malipo.
- Gharama: Bure kabisa kwa masomo, lakini vyeti vinapatikana kwa malipo katika baadhi ya tovuti kama Alison.
- Tovuti Maarufu za Kozi za Online:
- Coursera: coursera.org
- edX: edx.org
- Udemy: udemy.com
- Khan Academy: khanacademy.org
- Alison: alison.com
Kwa bongo sijui umuhimu wa kila website hapo.
- Kozi Zenye Vyeti:
- Coursera, edX, Udemy na LinkedIn Learning hutoa kozi zinazotolewa na vyuo vikuu na taasisi maarufu, na baada ya kumaliza, unapata vyeti vinavyotambulika.
- Gharama: Kozi nyingi zina malipo ya kati ya $30 - $100 kwa mwezi au kozi, ingawa kuna kozi za bure zinazotoa vyeti kwa malipo.
- Kozi za Bure:
- Tovuti kama Khan Academy, Google Career Certificates, na MIT OpenCourseWare hutoa kozi bure bila malipo.
- Gharama: Bure kabisa kwa masomo, lakini vyeti vinapatikana kwa malipo katika baadhi ya tovuti kama Alison.
- Tovuti Maarufu za Kozi za Online:
- Coursera: coursera.org
- edX: edx.org
- Udemy: udemy.com
- Khan Academy: khanacademy.org
- Alison: alison.com
Embu fafanua hapaKwa bongo sijui umuhimu wa kila website hapo.
Iła kwa diaspora, wenye qualification na kazi yao inataka kuelewa IT systems za kazini ambazo wanaweza practice mpaka wachoke au coding.
Udemy mwokozi, kuna watu humo wanakupa software na kukufunza kuzitumia, kukosa kazi ushindwe mwenyewe.
Sasa mimi nitajuaje we unatafuta skills gani? Vinginevyo kama unataka kujifunza Xerox, Sage na other accounting software zimo humo (kuna walimu wanakupa software za ku-down ufanyie mazoezi) na unabaki nayo. Au watakuelekeza website za kupata temporary access (this is not ideal).Embu fafanua hapa
Duh mi nataka nijiwekeze kwenye kufanya research kwenye upande wa mazingira tu hapo sijui niende wapiSasa mimi nitajuaje we unatafuta skills gani? Vinginevyo kama unataka kujifunza Xerox, Sage na other accounting software zimo humo (kuna walimu wanakupa software za ku-down ufanyie mazoezi) na unabaki nayo. Au watakuelekeza website za kupata temporary access (this is not ideal).
Kwa kifupi ukiniuliza IT system za accounts naweza jibu, industry zingine siwezi elezea maana sijui system zao, lakini udemy wapo wenye nazo ili ufanyie practice.
Well then tafuta course ya research skills au methodologies (au kitabu). Kuna wauza vitabu JF buku 10 wanakupatia kitabu kizuri ambayo itakupa idea.Duh mi nataka nijiwekeze kwenye kufanya research kwenye upande wa mazingira tu hapo sijui niende wapi
Kifupi nataka niwe na ujuzi mzuri hasa kwenye tools mbalimbali za kufanya research writing yangu iwe ya kiwango Cha juu
Sawa kakaWell than tafuta course ya research skills au methodologies.
Nenda YouTube kuna video nyingi tu za namna nzuri ya kuandika research inategemea na aina ya serach (hapa naongelea) namna ya ku-approach tu.
Kuhusu topic yenyewe hakuna namna inabidi usome mwenyewe, mazingira ni uwanda mpana mfano topic ya kupunguza CO2 aiwezi kuwa sawa na theories za utunzaji forest kwa mazingira ya ecosystem (you get the gist). Be it wote wanaweza laumu deforestation kwa namna moja au nyingine kwa viwango tofauti katika kujenga hoja zao za athari.
Sasa you need to be specific research ya mazingira kwa angle gani unataka kulinda vyanzo vya myo sio kulinda marine biology. You get the idea unaposema mazingira ni topic kubwa sana.