Nahitaji kurusha ndege nitakayotengeneza mwenyewe.

Nahitaji kurusha ndege nitakayotengeneza mwenyewe.

Elly official

JF-Expert Member
Joined
Sep 16, 2018
Posts
767
Reaction score
1,038
Habarini wana jamvi, nina ndoto ya kurusha ndege ndogo nitakayoitengeneza mimi mwenyewe, kwa miaka 2 nimekusanya tutorial na mafunzo mbalimbali kupitia utube n.k kuhusu ndege, aina ya ndege ni kama zilivyo KOLB ultralight and sidhani kama zinahitaji aviation license kwa vile zinaruka belowa 2000ft.. Ndege itatumia engine ya pikipiki tu hizi za kawaida. Nina michoro yote ambayo nimeitafuta kwenye internet, tayari kuna waliofanya hii project na zinaruka vizuri tu. Engine ninayo, hivi vingine sio shida kuvipata. Shida ipo kwenye transponder pamoja na radar, kwa sasa nipo kwenye hatua za mwisho mwisho natafiti kama naweza kutumia spartohone kujua nilipo na ninakotoka pia ninakotakiwa kwenda, kujua air speed, kujua altitude niliyopo, hivo nitahitaji smartphone si zaidi ya tatu ama nne.
Mwenye kujua sheria mbalimbali za aviation za hapa nchini kwetu kabla hujarusha chombo chako angani inakuwajee? Na hili ndo limenileta hapa jf.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kuna yule msela wa Kigoma nadhali alitengeneza helkopta sikajua aliishia wapi.

Big up kwa mawazo makubwa mkuu.
 
Kwa jinsi ulivyoeleza hapa, nadhani utafanikiwa kwa zaidi ya 80%, labda uwe mwoga au ufatilie historian ya waliyoshindwa hapa tz.
 
Umeshaamka?
.
IMG_20200524_110920.jpg
 

Attachments

  • tapatalk_1580216454885.jpg
    tapatalk_1580216454885.jpg
    27.3 KB · Views: 11
[emoji125][emoji125][emoji38]mpwa kwanini usinunue engineer ya ndege ? Kuliko ya pikipiki ?
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom