Nahitaji kurudi nyumbani

Mimi msukuma hii ya kuishi na watu wengi home ni kawaida tu,tunakuwa nayo.Kwa hiyo mimi nilipokuwa na kwangu wala hainisumbui kuwa na extended family

Kwahyo ni kama utamaduni?
 

nilikuelewa vizuri sana. Hao baadhi ya wanawake wasiopenda kukaa na ndugu wasikufanye ufikirie kuwa single. Ushasema ni baadhi, si wote.
 
kumbe wewe wifi yangu,ndo zetu hizo,japokuwa mimi sijaolewa na msukuma,tena wakati mwingine huwa natamani waongezeke.
.


hahahaa...waongezeke tu mradi ndugu yao anahudumia mi hata sijali
 
Gharama za ada wanadai watalipa wao ila mwngne kama nauli hadi chuo ni 3000per day hujaweka chakula na mengne na sijajipanga nimeshtukizwa nashindwa nifanyaje[/QUOT

Mfukuze usijali binadamu watasemaje mjini mipango
 
Ambao bado mnaishi na wake mna kazi kweli, kaja nduguyo nyumbani yeye anakimbilia kumfungulia thread, mwingine alikuja wifi yake akleta thread hataki kumsaidia kazi za jiko...loh! kweli jamaa kama ni ukweli hajakwambia (i doubt) kafanya makosa na nina uhakika ameliona hilo na ameomba msamaha, sasa kitendo cha wewe kusema unaondoka unarudi kwenu (sijui umeshawaambia kwamba unarudi wajiandae au na wewe unashtukiza) kinaonesha kwamba hauko tayari kwa lolote isipokuwa haumtaki huyo ndugu aondoke (mambo ya shule wewe hayakuhusu) tu!....wanawake kweli roho mbaya.
 

haah haah haah mkuu umetisha! huyu dada hata mimi kanishangaza sana mana mgeni kuja ni baraka.
 
Tatizo threads zako huwa haziaminiki bi mkubwa...

Comment yako imenifanya nimfukunyue nijiridhishe na unachokisema. Look what I have found.

Mwaka 2012 alikuwa na miaka 23 akiwa chuo second year na mtoto mmoja, hana ndoa kwasababu kila mwanaume anayetangaza ndoa yeyr anamuacha . Mwaka uliofuata (2013) akawa kwenye ndoa iliyodumu kwa miaka 7.
 

Amekuja nymbani kwangu!!!! Hapa ndio tatizo linapoanzia kwani najiuliza kwako au kwenu? Wanaostahili kuishi hapo, dah hata waazungu wana mabinamu na magdrand parents inapobidi wanaishi nao! Jamani kwa trend hii Mhhh mhhh!
 

Mkuu hawa raia wa namna hii huwa wanapotezea sana watu muda...
 
Rogie tunashukuru sana ehehehehehe
Kwa nn nyie madada waongo msiwe kama mm tu ambaye nakuja hapa kucheka na kufurahi?Unapo danganya unatufanya sisi wote mafala au?
Waongo sana watu hapa kiasi kwamba mkiweka kitu serious tunakichukulia kama ni uzushi tu
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…