mmmmhh!!!!KWANINI?HEBU KUWA NA MSIMAMO WAKO KUWA UNAUWEZO WA KUMSAIDIA KAKA YAKE ILA KAMA HUYO BINT ANAKUJA KWA MDA NA KWENDA CHUO SIO MBAYA MUACHE KAMA KWELI HAUTAKUWA MZIGO KWAKO MAANA WASIJE WAKAZANI GHARAMA ZOTE NI WW UNAZITOA AAAH KUWA NA MSIMAMO LOO
Gharama za ada wanadai watalipa wao ila mwngne kama nauli hadi chuo ni 3000per day hujaweka chakula na mengne na sijajipanga nimeshtukizwa nashindwa nifanyaje
Habari zenu wapendwa, imani yangu ni kuwa mu wazima,
.......haya mambo hata katika familia nilivyokulia baba hawezi fanya kitu kama hicho bila kumjulisha mama.....
Ondoka uende ukute mchepuko, kisha urudi hapa utuambie maana naona hata huamini km hapo ni kwako na kama hapo ni alpha na omega kwako. Kwa baba yako lazima pawe tofauti na kwako. Unatakiwa ukae na mmeo hata km ni mkali kiasi gani. Msubirie akiwa ktk furaha afu muingizie topic kiulaini. Hapo ni kwako na haitafanana kamwe na kwenu. Inaonekana ndio stahili ya maisha mme wako kuku suprise. Na hii mlikosea tangu mwanzo wa mapenzi yenu. Hivyo kaa naye muanze upya kupanga mipango ya nyumbani. Saidieni wasiojiweza kila mlipo na uwezo. Je, hapendezi iwapo una jambo la maana kwa mumeo, ukalirudia rudia kila anapokuwa ametulia hadi lipate kibali? Je, ni sahihi kukimbilia kwenu wkt kuna shida ktk maisha yenu ya ndoa? Fikiria!
Habari zenu wapendwa, imani yangu ni kuwa mu wazima,
Kuna tatizo hapa, asubuhi ya leo nimekaa najiandaa kutoka kaja binamu wa mume wangu na mabegi kuuliza eti amekuja kukaa nyumbani kwangu asome chuo.
Kumuhoji kawa mkali eti mimi sina ubinadmu na mambo mengi mabaya nikasema tatizo siyo huyo binti kuja tatizo kwa nini hakunijulisha kama walishapanga amlete hapo nyumbani.
Nilichofikiria mimi naondoka niende nyumbani kwetu kidogo nirudi baada ya wiki moja coz haya mambo hata katika familia nilivyokulia baba hawezi fanya kitu kama hicho bila kumjulisha mama.
Hapa nipo sahihi wapendwa?
Nimegundua mumeo hajakushirikisha c anajua una roho ya korosho.