Nahitaji kurent apartment kwa siku moja

Unataka uwapige mande hao wageni wako 15?
Kwanini usiwapeleke uswahili kwako unakoishi?
Au umejitamba kuwa unaishi kwenye apartment yako?
Au ni wakwe zako watarajiwa kwa hiyo unataka wakuone matawi ya juu?
Nakushauri kwa hiyo dola 50 nenda kwenye bar yenye utulivu kiasi wanunulie bia/soda/maji viti unapewa bure na chenji inabaki.!

Lowasa alisema shule shule shule Yan maandishi yako yanaonesha kabisa ww ni mtu wa aina gani hata kwenye familia yako,
 
Kuna hotel moja ipo Viva Towers kwa hio $50 inaweza kufit sema sidhani kama wanaweza kuruhusu idadi hio kubwa ya watu

Thank you Kesho nitapita hapo
Naitaji kwa kufanya evaluations tu ya tenda documents
 
Unataka uwapige mande hao wageni wako 15?
Kwanini usiwapeleke uswahili kwako unakoishi?
Au umejitamba kuwa unaishi kwenye apartment yako?
Au ni wakwe zako watarajiwa kwa hiyo unataka wakuone matawi ya juu?
Nakushauri kwa hiyo dola 50 nenda kwenye bar yenye utulivu kiasi wanunulie bia/soda/maji viti unapewa bure na chenji inabaki.!
Mkuu laki na ishirini kwa mripuko wa wageni namna hiyo, chenji inaweza kubaki?
 
Unataka uwapige mande hao wageni wako 15?
Kwanini usiwapeleke uswahili kwako unakoishi?
Au umejitamba kuwa unaishi kwenye apartment yako?
Au ni wakwe zako watarajiwa kwa hiyo unataka wakuone matawi ya juu?
Nakushauri kwa hiyo dola 50 nenda kwenye bar yenye utulivu kiasi wanunulie bia/soda/maji viti unapewa bure na chenji inabaki.!

Sijui una umri gani that's why nakusamehe tu nakuona hauna akili
 
lamada hotel pale ilala appartment ina vyumba vi2 sebule choo dining elfu70 ila hawaruhusu kupika ,kuingia na bange wala mziki mkubwa...halafu hizi appartment zinakua na cctz camera usije fanyia ufuska kiongozi ah ah
 
Naitaji kupanga apartment kwa siku moja tu, yenye chumba na sebule na full furniture

Nitakuwa na wagen wangu 15 ambao tutakuwa na meeting kidogo

Chakula na vinywaji vyote tutanunua hapo hapo

Bajeti yangu ni dola $50
Mwenye uwezo wa kunisaidia ani dm
Mkuu apartment au chumba?
 
Kuna apartment pale survey kwa sh 70,000 kwa siku Ina vyumba vitatu jiko sitting room full furniture
Tanzania apartments Bei ghali Sana Kenya kwa siku unakuta Ni elfu 40 ina facilities zote Hadi majiko na vyombo vya kupikia vipo.ukikaa mwezi Bei zinashuka waweza punguziwa Hadi elfu 30 kwa siku Kama unakaa muda mrefu
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom