Nahitaji kurent apartment kwa siku moja

Nahitaji kurent apartment kwa siku moja

Umesahau na watu wa kufanya usafi kila asubuhi...free WiFi tena unlimited.
Tanzania apartments Bei ghali Sana Kenya kwa siku unakuta Ni elfu 40 ina facilities zote Hadi majiko na vyombo vya kupikia vipo.ukikaa mwezi Bei zinashuka waweza punguziwa Hadi elfu 30 kwa siku Kama unakaa muda mrefu
 
Mkuu unaonaje ukachangamkia hiyo fursa ukajenga wewe apartments zako halafu ukodishe kwa hiyo bei ya Kenya?
 
Back
Top Bottom