charrote
JF-Expert Member
- Aug 11, 2017
- 1,988
- 4,413
- Thread starter
- #21
Yajutu mimi ni mwanamkeHuweleki kama ni mwanamke ama mwanaume pili punguza jaziba uandike vizuri nitarudi kukupa ushauri
Sent using Jamii Forums mobile app
Yajutu mimi ni mwanamkeHuweleki kama ni mwanamke ama mwanaume pili punguza jaziba uandike vizuri nitarudi kukupa ushauri
Sent using Jamii Forums mobile app
Katika mahusiano,usikubari/kuruhusu mwenzio awe na mashaka na wewe juu ya usaliti.
Maana hataweza kuhudhulia mapenzi tena kama ilivyokua mwanzo.
Kwenye mapenzi jitahidi kuwa mkweli ,kua muwazi,ukiulizwa jibu kwa ufasaha na kusiwe na majibu ya kujiuliza zaidi.maana unakuta mtu anakuuliza ulikua wapi tu,
Hamkawii kujibu kwani Mimi huniamiami ? Unaniona Malaya.majibu kama hayo yanazidisha wasiwasi kwenye mapenzi,unatakiwa ujiamini na unyooshe maelezo.
Kuna ukweli ndani yake,,Wewe ulikua unaishi na mwizi, na ulimuamini kwakua uliamini kwamba kwa kumlea atatulia na awe wako pekeyako.
Kwajinsi ulivyo andika, ni dhahiri ulikua unafuga Mario ndani kwako ingawa haujataka kuweka wazi hapa.
Ila pole aiseee....
Haya pumzika
Next time i will keep your advice, thanksKatika mahusiano,usikubari/kuruhusu mwenzio awe na mashaka na wewe juu ya usaliti.
Maana hataweza kuhudhulia mapenzi tena kama ilivyokua mwanzo.
Kwenye mapenzi jitahidi kuwa mkweli ,kua muwazi,ukiulizwa jibu kwa ufasaha na kusiwe na majibu ya kujiuliza zaidi.maana unakuta mtu anakuuliza ulikua wapi tu,
Hamkawii kujibu kwani Mimi huniamiami ? Unaniona Malaya.majibu kama hayo yanazidisha wasiwasi kwenye mapenzi,unatakiwa ujiamini na unyooshe maelezo.
hivi unahamiaje kwa mwanaume tena chumba kimoja na hajakuoa? si kila mtu apange kwake elf 30 kitu gani jamani? bora hata iwe mjumba aah!!jaman kuna watu mnapitia kwenye mahusiano magumu?? hapo tu hujaoana nae analeta mapicha picha! aisee....kweli tumeumbwa tofauti.....tena tofauti mno
hivi unahamiaje kwa mwanaume tena chumba kimoja na hajakuoa? si kila mtu apange kwake elf 30 kitu gani jamani? bora hata iwe mjumba aah!!