Nahitaji kuprint ti-shirts pcs 3000 | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Nahitaji kuprint ti-shirts pcs 3000

Discussion in 'Nafasi za Kazi na Tenda' started by kajansi, Sep 19, 2012.

 1. k

  kajansi JF-Expert Member

  #1
  Sep 19, 2012
  Joined: Sep 19, 2012
  Messages: 485
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 0
  hELLO WADAU NAPENDA KAMA KUNA MJASILIAMALI ALIYEPO TAYARI ANIPE QUOTATATION YA KUNIFANYA PRINT YA TI-SHIRTS 3000 ZENYE ROUND COLLAR KWA DAR. TI-SHIRTS ZENYEWE ZITAKUWA NA MAANDISHI MBELE NA NYUMA NA LOGO MKONONI.
  pm naturlandlake@gmail.com
   
 2. A

  Amonino Member

  #2
  Sep 19, 2012
  Joined: Feb 13, 2012
  Messages: 19
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 3
  ushampata au bado nikupe namba ya jamaa anayeprint
   
 3. k

  kajansi JF-Expert Member

  #3
  Sep 19, 2012
  Joined: Sep 19, 2012
  Messages: 485
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 0
  bado ndugu nipatie namba
   
 4. NYAMALAWA

  NYAMALAWA Member

  #4
  Sep 19, 2012
  Joined: May 3, 2012
  Messages: 91
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 13
  ncheki hapa 0714918816/0762091812
   
 5. T

  Twino Member

  #5
  Sep 19, 2012
  Joined: Mar 22, 2012
  Messages: 13
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Nazifanya kazi hizo,na pia nauza tshit za aina zote nakutumia email sasa na nipo dar
   
 6. B

  Benaire JF-Expert Member

  #6
  Sep 21, 2012
  Joined: Dec 13, 2011
  Messages: 1,947
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 135
  Kama uko dar es salaam....nenda mwenge kuna ofisi zinaitwa dama media limited....wao ni watalaam wa mambo ya printing kwa individuals na organization..
  au mtafute mkt manager wa hapo jina nimemsahau ila namba yake ni 0719 833 673!
   
 7. Senior Boss

  Senior Boss JF-Expert Member

  #7
  Sep 22, 2012
  Joined: Aug 19, 2011
  Messages: 3,285
  Likes Received: 2,023
  Trophy Points: 280
  Hello nina kampuni ya general supplies iliyosajiliwa na lesseni kila kitu......kama uko interested ni ku supply huo mzigo wa tshirts.......0774-000655 nicheck hata kwa sms tuzungumze biashara !!!
   
Loading...