kweli kabisa labda tunaweza pata hiyo tenda...Spike unatakiwa kusema ulipo,kwa maana ya mkoa, na kama unaweza unaweza kuweka sample unayotaka kisha watu wamiminike kubahatisha tenda badala ya kuweka mstari mmoja na kualika PM
kwani hizi jezi bado zipo duniani?Ningekuwa yeye ningeweka maneno nayotaka yawepo kwenye husika na mtindo....mfano
View attachment 153443![]()
hehehe wazee wa kufukuza kocha hahaha watakuha sasa hvi kujibu mapigo....kwwli kabisa angesema ni round coller au form six zwnye ccoller atupe hiyo kazi tuipige fastakwani hizi jezi bado zipo duniani?
Poleni wandugu , niko mbeya t-shirt ni za form six, log ninayo na rangi iwe mchanganyiko wa kijani na nyeupe
nime ku pm spike....Log hii apa