Glas
JF-Expert Member
- May 30, 2016
- 1,243
- 1,186
Habari zenu wadau!
Nahitaji kupata walimu wawili, wawe na diploma au degree kwa masomo ya science! Kuna center nishaifungua na mpaka sasa nina wanafunzi 17 wa madarasa tofauti tofauti.
Nahtaji wawe na ari ya kupiga kazi na wawe ni wakazi wa Morogoro Mjini! Aliye serious ani-PM.
NB: Wawe tayari kupiga kazi mpaka usiku by saa 2