namba moja tuu
Senior Member
- May 4, 2017
- 162
- 142
Laptop (hp),printer machine(3 in 1), sabooferUna asset gani vp mkopo wa tzs ngapi
Nipo DSMUpo mkoa gan
Shingapi unataka?Laptop (hp),printer machine(3 in 1), saboofer
400,000Shingapi unataka?
Njoo PM mkuu tuyajenge zaidiUtalipa baada ya siku ngapi
Kufukua kivipi mkuuUnaweza kufukua mtaro
Umeanza vizuri ila hapo ndo ume haribu😃😃Unaweza kufukua mtaro
Mimi sina mtaro kiongoziBasi kufukuliwa
Sasa kaburi lifukuliwe la niniKwani mtaro ndo unafukuliwa tu hata kaburi na shimo vinafukuliwa
Njoo PM ndugu tuzungumzeKiasi gani ,mim pia nakopesha kwa riba