Hahaha kofia ya design ile hata mzee jiwe huwa anaivaaga sana 😊😊Hahahaaaa..... Kofia ya Tundu Lisu anafanana sana na Prof Ndumilakuwili!
Na Wenye majarida ya Bongo na Tabasamu nao waonyeshe upendo kwa wajomba.Mkuu nyumbani yapo maana mama alikuwa hapitwi nayo miaka ile ya 1995's yakitoka mara moja kwa mwezi mpaka miaka ya 2005's lilipoanza kutolewa kama gazeti. Akimaliza kusoma tu zamu ya watoto, nipo mkoa kikazi kama utakuwa hujayapata mpaka tar 15 nitakupatia. We upo mkoa gani?
Mkuu hata mimi nahitaji..nipo mwanza..lets arrange napataje.Mkuu nyumbani yapo maana mama alikuwa hapitwi nayo miaka ile ya 1995's yakitoka mara moja kwa mwezi mpaka miaka ya 2005's lilipoanza kutolewa kama gazeti. Akimaliza kusoma tu zamu ya watoto, nipo mkoa kikazi kama utakuwa hujayapata mpaka tar 15 nitakupatia. We upo mkoa gani?
Itakuwa vyema, haya majarida ya Sani huwa nikienda home huwa nayarudia na kurudia kuyasoma na kucheeka mwenyewe. It's one way of mind refreshmentNa Wenye majarida ya Bongo na Tabasamu nao waonyeshe upendo kwa wajomba.
Mkuu nipo dodoma kwa sasa! lakini hakuna kinacho shindikanaMkuu nyumbani yapo maana mama alikuwa hapitwi nayo miaka ile ya 1995's yakitoka mara moja kwa mwezi mpaka miaka ya 2005's lilipoanza kutolewa kama gazeti. Akimaliza kusoma tu zamu ya watoto, nipo mkoa kikazi kama utakuwa hujayapata mpaka tar 15 nitakupatia. We upo mkoa gani?
Yapo home Dar, ila kwasasa nipo mkoa mmoja wa nyanda za juu Kusini kikazi mpaka tar 15.Mkuu hata mimi nahitaji..nipo mwanza..lets arrange napataje.
Sawa, lets wait until the day of coming back to my sweet home. Kama utakuwa hujapata tutawasiliana maana yapo tu kwasasa yamejaa kwenye kabatiMkuu nipo dodoma kwa sasa! lakini hakuna kinacho shindikana
Nikweli kabisa! yanafurahisha sana na ku reflesh akiliItakuwa vyema, haya majarida ya Sani huwa nikienda home huwa nayarudia na kurudia kuyasoma na kucheeka mwenyewe. It's one way of mind refreshment
Hahah sure mkuu,enzi ambazo mzazi anakupa gazeti ulisome akiwa hana wasiwasi No nudes,no lugha za matusi just entertainment tuItakuwa vyema, haya majarida ya Sani huwa nikienda home huwa nayarudia na kurudia kuyasoma na kucheeka mwenyewe. It's one way of mind refreshment
Sasa mzee utayagawa vipi!?Sawa, lets wait until the day of coming back to my sweet home. Kama utakuwa hujapata tutawasiliana maana yapo tu kwasasa yamejaa kwenye kabati
Poa mkuu..thanks.Yapo home Dar, ila kwasasa nipo mkoa mmoja wa nyanda za juu Kusini kikazi mpaka tar 15.
Tutachekiana
Unajua ile mzazi anakuja nalo alafu hajamaliza kusoma siku hiyohiyo na asubuhi anaenda nalo kazini, tuliobaki nyumbani tunaomba akirudi awe amemaliza ili nasi tupate kuchungulia, nione madenge kamwingiaje mzee wake, pimbi kaopoa mshangingi wa aina gani alafu mission ikafeli, ndumilakuwili nae katika harakati zake za wizi bila kusahau maneno ya shombo ya mzee Lodilofa na kigari chake kile kwa wazee wenzake hapo bado hujamalizia tambo za Betina kwa Zena huku bi mkubwa wake Betina akila serveillence na ungo wake home kwa Zena kumnyong'onyesha siku ya pambano mwanae ashinde😂😂😂😂Hahah sure mkuu,enzi ambazo mzazi anakupa gazeti ulisome akiwa hana wasiwasi No nudes,no lugha za matusi just entertainment tu
Maisha yalikua poa sana.