Nahitaji kupata kitabu cha midwifery

Vitabu vya midwifery kama upo dar, vinapatikana posta,. Best edition ni ya Magreth Myles Textbook. Ukipata kile chenye rangi kama ya blue ni nzuri zaidi ila sikumbuki ni edition ya ngapi
 
Back
Top Bottom