Issue ni ndogo sana. Mimi ninayo usb webcam ya log tech 1metre then nikatafuta usb hub 2.0 high speed, kisha nikaenda pale karia koo nikanunua UTP cable cable fulani ambazo zipo kama usb ndani zina waya nne na nikanunua usb extension kisha nikaunganisha zile waya na kupata urefu wa kama 5m ambayo kwangu inatosha na kutoa nje ya home, then nikadownload ivideon server ktk pc nika add account na kustream live ila hii issue unahitaji utundu mtu usiwe mvivu mvivu.