Nahitaji kuolewa

Nahitaji kuolewa

mim ni msichana am 20 in yrz,i hav one kid.nahitaj mwanaume umri 25-40 awe mume.4 anyone silias 0719881081 4 more info.

Huyo uliyezaa naye imekuwaje? Au hakuwa "silias"
 
Tatizo ni nini??umekata tamaa kiasi hicho mpaka kutafuta mume huku?watu wanaolewa na miaka 30s sembuse wewe!we tulia na muombe mungu akupe mume na kuzaa wala sio sababu ya kukosa mume mpenz,watu kibao wameolewa huku wakiwa wamezaa na mwanaume tofauti,JF hapa utapata STRESS tu wala sio mume ndugu yangu.

Tena kwa usalama zaidi usipende mahusiano ya kwenye mitandao binaadam sisi ni zaidi ya utujuavyo!hapa sisi tunajadili tu lakini tunaishi hukohuko mitaani!kwa hiyo mume atapatikana hukuhuko mtaani na sio JF
Suala la ndoa mpaka mkafikia kuoana ni ndefu sanaa sio rahisi likatokea hapa JF
 
Kazana kumuomba mungu atakujaalia mume alokuwa na kheri na weye.. kuzaa wala sio tatizo my dear alizaa princess diana na bado dodi el fayed akamtaka so sio mwisho wa dunia miaka yako bado midogo ndoa sio rahisi kama unavyodhani sasa hivi tulia lea mtoto wako na ikiwezekana jiendeleze kimasomo, mume huletwa na mungu utakimbilia utapata majanga tu.. acha ndoa ije yenyewe mdogo wangu wa mbeya...
 
Ni kama vile mtu uliyepoteza mwelekeo wa maisha hadi kuja kutangaza ndoa katika mitandao ya kijamii........ni vyema walau ungeenda kwenye nyumba za ibada kama msikitini kama wewe ni muislam au kanisani kama wewe ni mkristo
 
mim ni msichana am 20 in yrz,i hav one kid.nahitaj mwanaume umri 25-40 awe mume.4 anyone silias 0719881081 4 more info.
una miaka 20, umeshazaa, na umeanza kuwashwa tena kutafuta wanaume wa mtandaoni maana hao wa mtaani umeshawamaliza?hahaha, nani apate shida ya baba wa mtoto wako kuwasiliana na wewe kuleta matumizi? kuna mtu huwa anamwacha baba wa mtoto wake kweli, mkikutana si lazima mtakumbushia. katafute kanisani sio hapa. kwa umri wako huo we ni kicheche, ungekuwa sio kicheche ilikuwa muda wako wa kujiimarisha kitabia na kusafisha jina ili uolewe kwa heshima, na umri huo kwa ndoa bado ni mdogo. au unategemea wazazi watakusaidia?
 
Tatizo ni nini??umekata tamaa kiasi hicho mpaka kutafuta mume huku?watu wanaolewa na miaka 30s sembuse wewe!we tulia na muombe mungu akupe mume na kuzaa wala sio sababu ya kukosa mume mpenz,watu kibao wameolewa huku wakiwa wamezaa na mwanaume tofauti,JF hapa utapata STRESS tu wala sio mume ndugu yangu.

Tena kwa usalama zaidi usipende mahusiano ya kwenye mitandao binaadam sisi ni zaidi ya utujuavyo!hapa sisi tunajadili tu lakini tunaishi hukohuko mitaani!kwa hiyo mume atapatikana hukuhuko mtaani na sio JF
Suala la ndoa mpaka mkafikia kuoana ni ndefu sanaa sio rahisi likatokea hapa JF

we jamaa,kwani wanaume wa mtandaoni hawaishi mitaani
 
Si imagine huyo mwanaume atakayekuja.. Maswali yake.. Kila Muda utanioa Lini ?.mbona wachelewa? .. Hivi ulisema Lini tunafunga Ndoa?..

Labda atakuja Mwanaume ambaye hataki background na kukusoma

Good lucky tho
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom