Weka pichaSi imagine huyo mwanaume atakayekuja.. Maswali yake.. Kila Muda utanioa Lini ?.mbona wachelewa? .. Hivi ulisema Lini tunafunga Ndoa?..
Labda atakuja Mwanaume ambaye hataki background na kukusoma
Good lucky tho

we jamaa,kwani wanaume wa mtandaoni hawaishi mitaani
Weka picha
Duu! ushazaa nani atakuoa?!
Weka picha
mbeya kaka!
nimempata jaman so pm sitak tena.
Tatizo ni nini??umekata tamaa kiasi hicho mpaka kutafuta mume huku?watu wanaolewa na miaka 30s sembuse wewe!we tulia na muombe mungu akupe mume na kuzaa wala sio sababu ya kukosa mume mpenz,watu kibao wameolewa huku wakiwa wamezaa na mwanaume tofauti,JF hapa utapata STRESS tu wala sio mume ndugu yangu.
Tena kwa usalama zaidi usipende mahusiano ya kwenye mitandao binaadam sisi ni zaidi ya utujuavyo!hapa sisi tunajadili tu lakini tunaishi hukohuko mitaani!kwa hiyo mume atapatikana hukuhuko mtaani na sio JF
Suala la ndoa mpaka mkafikia kuoana ni ndefu sanaa sio rahisi likatokea hapa JF