Angalau wewe umejibu kilichoulizwa..wengine wameishia kuwa wapiga ramli tu!Nenda duka la siraha pale Tanganyika Army pale station karibu na central polisi wanauza 80,000 tu
Sent using Jamii Forums mobile app
thanx you mkuu....we are togetherthat's good advice from you friend,be blessed.
Ndiyo nini?Nenda duka la siraha pale Tanganyika Army pale station karibu na central polisi wanauza 80,000 tu
Sent using Jamii Forums mobile app
Naona unatuambia from your vivid experiences,pinguu...sio kwa ukamataj uhalifu tu..hadi kwenye mahaba
ila kamba ndo zinfaa..unamlaza chali on bed..then unamfunga mikono juu..mmoja huku mwingine kule..na miguu pia..
halafu ndo unamjulisha this is special for u babe daddy...tulia!
malovee mpaka alie kikwao!
hapana..sijawahi..Naona unatuambia from your vivid experiences,
Mkanda wa suruali je?? Hujawahi kufungwaga nao best??
Niwafunge Pingu, Kamba au Mikanda kwani nawabaka best??hapana..sijawahi..
vipi we umewahi
Zinauzwa mkuu kama alivyokupa mwongozo mpolamwihi kwenye post #16, hata Jerry Muro alinunua enzi hizo kwa 25,000TZS ila kwa sasa nadhani zitakuwa zimepanda
Matumizi binafsi yapi hayo sasa
Naona unatuambia from your vivid experiences,
Mkanda wa suruali je?? Hujawahi kufungwaga nao best??
hapana..sijawahi..
vipi we umewahi
Niwafunge Pingu, Kamba au Mikanda kwani nawabaka best??
Pingu hatariMie sio askali mkuu, ni raia nazihitaji kwa matumiz ya kawaida tu yasiyo na madhara yoyote!
Kwan pingu na bunduki kipi hatari zaidi?
Sent using Jamii Forums mobile app
Maduka ya silaha...Wakuu nina hitaji kumiliki Pingu kwa matumizi yangu binafsi, je naruhusiwa kununua na wapi zinapatikana?
[HASHTAG]#maisha[/HASHTAG] kusaidiana wadau!
Sent using Jamii Forums mobile app
aisee wewe inaonekana ni paramount architect kwenye hiyo tasnia duh na mi nataka nikuje unifunge pingu sio kamba.pinguu...sio kwa ukamataj uhalifu tu..hadi kwenye mahaba
ila kamba ndo zinfaa..unamlaza chali on bed..then unamfunga mikono juu..mmoja huku mwingine kule..na miguu pia..
halafu ndo unamjulisha this is special for u babe daddy...tulia!
malovee mpaka alie kikwao!
hata kitaa zipo tu.Wakuu nina hitaji kumiliki Pingu kwa matumizi yangu binafsi, je naruhusiwa kununua na wapi zinapatikana?
[HASHTAG]#maisha[/HASHTAG] kusaidiana wadau!
Sent using Jamii Forums mobile app
PolisiWakuu nina hitaji kumiliki Pingu kwa matumizi yangu binafsi, je naruhusiwa kununua na wapi zinapatikana?
[HASHTAG]#maisha[/HASHTAG] kusaidiana wadau!
Sent using Jamii Forums mobile app
Matumizi ya kawaida kwa pingu ni kufungia watu kwahiyo unataka kufunga watu? Matumizi yasiyo ya kawaida kwa pingu ni wakati wa uzinzi
Wakuu nina hitaji kumiliki Pingu kwa matumizi yangu binafsi, je naruhusiwa kununua na wapi zinapatikana?
[HASHTAG]#maisha[/HASHTAG] kusaidiana wadau!
Sent using Jamii Forums mobile app