Nahitaji kununua nyumba Mwanza mjini.

Lovery

JF-Expert Member
Aug 15, 2014
1,540
3,139
Habari zenu, kwa wale wazoefu tafadhali naomba msaada wa maelekezo kuhusu utaratibu muhimu wa kufata katika ununuzi wa nyumba, Maana hali ilivyo kwasasa naweza nikaingia katika mikono ya matapeli. Asanteni
 
Sema uwezo wako kwanza kabla sijaja inbox.tulishajenga na tuna shida ila sema uwezo ulioishajipangia
 
Eneo lolote muhimu isiwe kwenye mawe na mafuliko
Kuna nyumba IPO Ghana karibu na rockcity mall Ni kubwa inaweza kuishi familia mbili au unaweza kuirenovate ikawa hotel house IPO eneo la biashara na mbele unaweza kupak GARI nne mpaka tano kama uko na interest inbox nikupe bei na maelezo mengine Ni ya kwangu Mimi mwenyewe
 
Asante nakuja inbox
 
Njoo nikupe ya nyasaka center karibu na jabali hira islamic secondary ina hati original huduma zote zipo na kiwanja ni kikubwa
 
Habari zenu, kwa wale wazoefu tafadhali naomba msaada wa maelekezo kuhusu utaratibu muhimu wa kufata katika ununuzi wa nyumba, Maana hali ilivyo kwasasa naweza nikaingia katika mikono ya matapeli. Asanteni
Take care hata Jf matapeli pia wapo...
 
Njoo nikupe ya nyasaka center karibu na jabali hira islamic secondary ina hati original huduma zote zipo na kiwanja ni kikubwa
Naweza kuiona hiyo ya kiseke nipo Mwanza nimevutiwa kama utakuwa na kiwanja kikubwa maana napenda kufuga pia
 
Back
Top Bottom