Mkuu iliki ipo bei kg 25,000 location mbeya kiasi tan utakazo wewe.nataka mtu mwenye Iliki aje tufanye biashara nae.
Good, umekosea kidogo sana hujawekaMkuu iliki ipo bei kg 25,000 location mbeya kiasi tan utakazo wewe.
Kiasi gani unahitaji..Good, umekosea kidogo sana hujaweka
Contacts
Mimi bado kuhutaji. Nikihitaji ntakutafuta. Nilichangia tuKiasi gani unahitaji..
0788643144
Karibu, nashukuru sanaMimi bado kuhutaji. Nikihitaji ntakutafuta. Nilichangia tu
17000Kilo utanunua kwa bei gani mkuu?
17000Unahitaji tani ngapi mkuu?
071449902517000
Good, umekosea kidogo sana hujaweka
Contacts
Subiri17000
Kwa 22000 kma upo tyr tufanye kaz fasta0714499025
Sema maashaAllahAcha nitoke nje ya mada tu. Nimependa ulivyojitanda mwaya.
Vipi sela, bado una deal na iliki? kame ndio je kilo bei gani ki wholesale?Unahitaji tani ngapi mkuu?
ukipata channel ya iliki utanishtua ambayo bei iko poaVipi sela, bado una deal na iliki? kame ndio je kilo bei gani ki wholesale?
Bongo hakuna watumiaji wa iliki. Huwa inasafirishwa kwenda majuu, hata hivyo buyers ni wachache tena walanguzi.Vipi sela, bado una deal na iliki? kame ndio je kilo bei gani ki wholesale?