Nahitaji Kununua Gari

stephot

JF-Expert Member
Mar 1, 2012
15,842
22,961
Nahitaji Toyota Carina or Premio isiwe D-4 engine kwa 6million Tshs ,kama unayo ni pm.
 
Neenda kwenye mtandao wa "be forward" una magari ya bei nzuri. Angalia gharama unaweza pata kwa that money yani ikijumlisha na gharama za usafirishaji.check kwanza huo mtandao.all the best
 
Neenda kwenye mtandao wa "be forward" una magari ya bei nzuri. Angalia gharama unaweza pata kwa that money yani ikijumlisha na gharama za usafirishaji.check kwanza huo mtandao.all the best

Mkuu tatizo liko kwenye ushuru bandarini sio kununua na kusafirisha,unafikiri watu wanavyokuja jf kuuliza wenye magari wanaouza wanapenda? Hawapendi bali ushuru umepanda maradufu,unanunua nje gari kwa milion 4 unalipia ushuru milion 5 jumla tisa haujasajili na kuweka namba.
 
Nina Toyota Carina
Ya mwaka 1998 imeingia nchini na kusajiliwa december 2008 imeanza kutembea rasmi 2009
CC 1762
silver Mettalic,
Chassis no AT21....
Engine No 7AG.......
Imetembea km 137,000
Inatembea na iko katika hali nzuri sana bei ya kuuzia ni 7m haipungui chini ya hapo if interested nipigie 0767908081
 
Mkubwa weka na picha basi ili kama inalipa niifukuzie!
 
kesho nitajitahidi niweke picha ila tungewasiliana uione live ingekuwa poa sana ujue picha sa nyingine zinadanganya au we nipigie unielekeze utakopatikana siku yoyote nikuletee uione.
 
DSC00136.JPG
Color-Metalic Silver
Model-5A FE
CC-1498
Millage-91,000Km
Transmission-Automatic
Reg-T 839 BLC
Year 2000
Condition-Good
bei 8 million - maelewano yapo


DSC00121.JPG

Color-Pearl White
Model-GX 100
CC-1998
Transmission -Automatic
Millage-98,000Km
Condiition-Good
Reg BCN
bei- 8 million maelewano yapo.


 

Similar Discussions

Back
Top Bottom