Nahitaji kununua gari online

ESPRESSO COFFEE

JF-Expert Member
Sep 6, 2014
6,170
7,661
Wakuu Habari

Nimefikiria nimeona nifanye maamuzi ya Kununua Gari online kutoka Japan. Sihitaji Kupitia Kwa hawa blockers Kwasababu Lazima watanipiga Pesa Sio Chini Ya 5,000,000/=

Naombeni Muongozo Wa Kiushaurii, Process, Japanes Company Ambayo sio wababaishaji. Na Process Zote za TRA bandalini Na Vingine.

Je, nitaweza? Au hawa Blockers ni muhimu?
 
Huna haja ya brockers hata kidogo, jua unataka gari gani, la mwaka upi (full specifications) Zama online huko sbt, be forward, autorec, trust vehicle na wengine. Chagua gari chukua taarifa rudi kwenye TRA calculator ujue kodi yake, kisha agiza baada ya invoivoice tuma muamala (hakikisha usitapeliwe) subiri utumiwe document gari ije na clearing agent watakutafuta.

Mkuu umemaanisha una 5m au umahisi watakupiga 5m madalali, sema ili nikupe ushauri mujarab!

Ukikwama njoo inbox tukusaidie BURE.
 
Nenda be forward online, chagua gari bargain mpaka mwisho , wakikutumia invoice CIF Dar, nenda office za beforeward maeneo ya posta omba ulipe kwenye Tz account yao, halafu wajulishe Japan na Tanzania office watawajulisha. Utabaki unasubili gari lako. Tz office watakufanyia pia makadirio ya gharama zote mpaka iwe yako
 
Nadhani hata tradecar view unaweza kufanya hivyo maana wana local representation
Tradecarview huwa naogopa Sana Magari yao huu mtandao unafanana na mtandao wa hapa kwetu kupatana.com

Wengi wanaofanya biashara na jamaa huwa wanalalamika saana kuhusu Magari mabovu,sijajua bado kama hawa seller wanafanyiwa inspection za Magari Yao kama ilivyo be forward, SBT na autorec
 
Okay tumia beforeward nilinunua gari mwaka juzi mwishoni 2018 December na nili-bargain na head office Japan, ila nikalipa hapa Tz local branch bila any transfer charges.

Trade car sikujua maana last time kununua gari kwao ilikua 2009
 
Tradecarview huwa naogopa Sana Magari yao huu mtandao unafanana na mtandao wa hapa kwetu kupatana.com

Wengi wanaofanya biashara na jamaa huwa wanalalamika saana kuhusu Magari mabovu,sijajua bado kama hawa seller wanafanyiwa inspection za Magari Yao kama ilivyo be forward, SBT na autorec
Na pia price zao ni kubwa sana kulinganisha na be forward wkt gari ni ile ile(Same VIN).
 
Sijui ni mimi tu,,ila magari ya online kama sbt ama beforward naonaga kama yamechoka alafu yashakula kilometa za kutosha,
 
Tumia be forward mkuu wapo vzr sana, mwaka 2016 niliwatumia kuagiza rush na mwaka 2019 niliwatumia kuagiza harry hakujawa kuwa na tatizo.
 
Some of my relatives hutumia Be forward... hopefully Wana branch Posta and niliwahi ona yard yao tabata Relini.. Good luck champion.
 
Na pia price zao ni kubwa sana kulinganisha na be forward wkt gari ni ile ile(Same VIN).
Alafu hiyo ishu ya VIN sijajua inakuaje maana unakuta gari moja ipo Kwenye mitandao tofauti inauzwa sometimes ukiingia mtandao wa be forward utaikuta inauzwa bei tofauti na mtandao mwingine huku gari ni ileile moja
 
Sijui ni mimi tu,,ila magari ya online kama sbt ama beforward naonaga kama yamechoka alafu yashakula kilometa za kutosha,
Aaaah!!! Wapi ni jinsi vile picha zao Tu vinavyotokea Kwenye mitandao Yao pia huwa hawachezi odometer ukikuta gari IPO km 70000 inakuwa hivyo tofauti na Magari ya Kwenye yard za hapa DAR huwa wanachezea cluster.

Kwa mfano Toyota crown nyingi zinakuwa zinasoma km nyingi Sana Kwenye mitandao ya SBT na be forward Ila ukija Kwenye show room za kibongo utauziwa crown yenye km 50000 kushuka chini kitu ambacho ni uongo.
 
Crown
Alphard
Brevis
Mark X hizi zote hushushwa meter
Aaaah!!! Wapi ni jinsi vile picha zao Tu vinavyotokea Kwenye mitandao Yao pia huwa hawachezi odometer ukikuta gari IPO km 70000 inakuwa hivyo tofauti na Magari ya Kwenye yard za hapa DAR huwa wanachezea cluster.....
Kwa mfano Toyota crown nyingi zinakuwa zinasoma km nyingi Sana Kwenye mitandao ya SBT na be forward Ila ukija Kwenye show room za kibongo utauziwa crown yenye km 50000 kushuka chini kitu ambacho ni uongo
 
Ahaaa, sasa nimeelewa chif.
 
Huna haja ya brockers hata kidogo, jua unataka gari gani, la mwaka upi (full specifications) Zama online huko sbt, be forward, autorec, trust vehicle na wengine. Chagua gari chukua taarifa rudi kwenye TRA calculator ujue kodi yake, kisha agiza baada ya invoivoice tuma muamala (hakikisha usitapeliwe) subiri utumiwe document gari ije na clearing agent watakutafuta.

Mkuu umemaanisha una 5m au umahisi watakupiga 5m madalali, sema ili nikupe ushauri mujarab!

Ukikwama njoo inbox tukusaidie BURE.

Naangalia faida wanayotengeneza Wale Jamaa
 
Adjustments.JPG

Hawa Nishuke Nao Mpaka Ngapi? Naona TRA watataka 6,100,000/= Crown Ya Mwaka 2004, KM 65,000
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom