Nahitaji kununua Email Account za gmail 20

Nahitaji kununua Email Account za gmail 20

Kuna mtu atauza email yake kwa jero, amesahau kama aliomba kaz fulan kupitia hiyo email, mchongo umetick anatafutwa hapatikan
 
Kama topic inavyojieleza hapo juu nahitaji email account 20 za kutoka gmail kwa sasa kwa matumizi yangu binafsi ya project nayoifanya kila email moja nitanunua kwa Tsh.500 malipo utapokea kwa njia ya simu.

Masharti.
1.Account iwe ishakuwa verified kwa maana ya simu, account inaweza kuwa mpya au ya zamani.

2.Utaitoa namba ya simu iliyotumika kuverify account na kuweka recovery email potizone@gmail.com halafu na kubadili password ya email na kuweka hii ili niweze kulog in kwa urahisi. password weka G#sasa@2022

3.Kwa email mpya tumia majina kutoka mataifa ya ulaya au Marekani itapendeza zaidi kwa zile zilizokuwa tayari haina haja.

4.Ukikamilisha yote hapo juu njoo inbox na email yako nitalog in kwanza kujilizisha utatuma pia namba yako ya simu itakayopokea pesa yako.

Project ni endelevu hivyo kwa sasa naanza na emails 20.
Acha ujinga wewe, unataka upeleke kwa alqaeda, alshabab, isis, taliban na boko haram halafu aliyeverify ndio adakwe?

Halafu ujinga gani huo wa kuuziana vitu kwa 500?
 
Napenda kugawa riziki kwa wengine pia!!
Ndo utoe 500😏
Wakati tumeweka bando la 10,000 sawa na Hela utakayogawa kwa hao watu wako 20 LOL!
Ungemcheck member anajiita Ugumu wangu juzi Kati alitapeli mtu humu huyo angekupa hata email 1000 na ushee
 
😂😂 Sitaki kuamini mtoa mada yuko serious
 
Back
Top Bottom