Dr leader
JF-Expert Member
- Jun 28, 2016
- 1,080
- 1,449
nimekosa sifa moja tu dini mm ni muslimSifa za mwanaume:
-Awe mkristo
Umri kuanzia 29-35
Awe na kipato chake
Mwenye mapenzi ya dhati
Sifa zangu
Mimi ni mkristo
Nina miaka 27
Rangi yangu ni black(beauty)
Nimeajiriwa serikalini.
Karibuni