Nahitaji kumpata mwanaume mwenye uhitaji na serious relation

Nahitaji kumpata mwanaume mwenye uhitaji na serious relation

Sifa za mwanaume:
-Awe mkristo
Umri kuanzia 29-35
Awe na kipato chake
Mwenye mapenzi ya dhati

Sifa zangu
Mimi ni mkristo
Nina miaka 27
Rangi yangu ni black(beauty)
Nimeajiriwa serikalini.
Karibuni
Unaweza kuwa mkristo, umeajiriwa serikalini na una rangi nzuri but yet an idiot who cannot be a good mother of children. Kama una tabia njema huhitaji kuja huku maana nyota njema inaonekanaga tu au labda kama ni biashara sema wazi.
 
HIVI HIZI NAFASI ZA UPENDELEO NIZA UKWELI AU ? YAANI HUANGAIKI KUJIULIZA ANA MTU AU HANA ATANIKUBALIA AU ? YUKO TAYARI KWA NDOA AAA AU ?

MAISHA YAMERAHISIKA KWELI KWELI
 
Nina dream na mwanamke black
Kama bado tuwasiliane hapa 0787569981
 
Sifa za mwanaume:
-Awe mkristo
Umri kuanzia 29-35
Awe na kipato chake
Mwenye mapenzi ya dhati

Sifa zangu
Mimi ni mkristo
Nina miaka 27
Rangi yangu ni black(beauty)
Nimeajiriwa serikalini.
Karibuni
Mimi nina 36 na siku 7 vipi nafaa ?
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom