Capital JF-Expert Member Joined Oct 12, 2010 Posts 1,508 Reaction score 1,104 Apr 28, 2019 #1 Wanabodi salaam Kama kichwa cha habari kinavyoeleza, nahitaji layers waliokaribia kuanza kutaga, wasiopungua 100. Lazima iwepo rekodi ya chanjo na tiba zingine kwa kipindi chote hadi kufikia umri waliokuwa nao. Karibuni sana pm
Wanabodi salaam Kama kichwa cha habari kinavyoeleza, nahitaji layers waliokaribia kuanza kutaga, wasiopungua 100. Lazima iwepo rekodi ya chanjo na tiba zingine kwa kipindi chote hadi kufikia umri waliokuwa nao. Karibuni sana pm
Hajto JF-Expert Member Joined Sep 30, 2013 Posts 5,652 Reaction score 5,635 Apr 29, 2019 #2 Kama utaweza nenda pale Tazara karibu na upande wa tbc utapata kwa sifa ulizotoa