geofreyngaga
JF-Expert Member
- Sep 7, 2014
- 667
- 974
Watu 10@kilo65 kwa makisio jumla kilo 650
Kitaalam Kirikuu inabeba kilo 350
Note: watu wa mbeya kiasilia wameshiba kilo65 ni makisio ya chini
TAFAKARI CHUKUA TAHADHARI, haki kirikuuuuu!!
Kitaalam Kirikuu inabeba kilo 350
Note: watu wa mbeya kiasilia wameshiba kilo65 ni makisio ya chini
TAFAKARI CHUKUA TAHADHARI, haki kirikuuuuu!!