Nahitaji kujua soko la vikapu Tanzania

Nahitaji kujua soko la vikapu Tanzania

mapundapetro

Member
Joined
Dec 5, 2016
Posts
38
Reaction score
17
Habari zenu ndugu zangu wana Hamiiforum kwanza natanguliza Shukrani kwa kufika siku ya leo.

Husika na mada tajwa hapo juu nafuma vikapu kwa wingi ila sijapata bado soko la kupeleka kuuza kwa jumla wateja walioko ni wa rejareja.

Mwenye kujua soko la vikapu anijuze Au kama kunamteja ambaye anahitaji nimuuzie kwa jumla anakaribishwa pia.

Mawasiliano natumia vodacom
0745299167
View attachment 1596779
 
Nipo pugu picha zipo
Picha
20201011_130357.jpg
 
Habari zenu ndugu zangu wana Hamiiforum kwanza natanguliza Shukrani kwa kufika siku ya leo.

Husika na mada tajwa hapo juu nafuma vikapu kwa wingi ila sijapata bado soko la kupeleka kuuza kwa jumla wateja walioko ni wa rejareja.

Mwenye kujua soko la vikapu anijuze Au kama kunamteja ambaye anahitaji nimuuzie kwa jumla anakaribishwa pia.

Mawasiliano natumia vodacom
0745299167
View attachment 1596779
Petro kazi nzuri hio.Unaweza zalisha vikapu vingapi kwa siku?
 
Back
Top Bottom