Nahitaji kujua soko la asali

Ulianza vipi kuwekeza bila kujua soko la bidhaa yako? Ndio maana biashara nyingi zinafeli kwa kukosa business plans.
 
Kujifanya mjuaji sana wakati hujui ni bora kukaa kimya.
Nadhani ndiyo matatizo la wasomi wetu wa kukalili terminology lakini hawawezi wala kudhubutu kuzisogelea fursa.
Utamkosoaje mtu wakati huna jibu la alicho kiuliza?
Unapate ujasiri wa kumkosoa mtu aliye thubutu!
Ameweza kuzalisha nasasa anapambana na changamoto ya soko, soon atapata soko. Je atakuwa sawa na wewe mjuaji usiye na uthubutu?

Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Duh!

Haya
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom