wazazi wangu walitengana, kutokana na baba kumtelekeza mama na watoto na kwenda kuishi kwa mwanamke mwingine baada ya kutengana kikazi! wakati kesi ikiendelea ya taraka, baba alistaafu na kupata mafao yake! na Mahakama ilipotoa taraka iliamuru wagawane
1 mafao ya kustaafu
2 trekta
3 shamba heka 18
baada ya hukumu hiyo baba amekata rufaa nje ya muda,lakn akapewa fursa ya kusikilizwa! alipopewa muda wa kuleta hoja zake amekaa karibu miezi 11 bila kufika mahakamani!
mama akaamua kuiomba Mahakama ikazie hukumu,baada ya baba kuitwa mahakamani akagoma kutoa Mali hizo na kurudi tena Mahakama ya rufaa kudai rufaa isikilizwe tena nje ya muda!
MASWALI YANGU
1 ni nini haki ya mama yangu ktk madai yake
2 ni nini haki ya baba ktk rufaa yake
3 je,pindi mama atakapostaafu watagawana tena?
NB,, baba amejitenga mwenyewe na familia na anaishi nyumbani kwa huyo mamaetu wa kambo na hawajazaa mtoto!
NDOA YAO NI YA KIKRISTO NA CHETI CHA NDOA KIPO