Trainee
JF-Expert Member
- Sep 22, 2018
- 3,118
- 4,238
Habari Ndugu zangu,
Bila shaka tumezoea kuwa kila jambo lina wa kulishughulikia yaani "kila mtu na kazi yake"
Lakini kuna kitu dharula ambapo unajikuta kuna vingine muda mwingine inabidi mtu kushughulikia kwa ujuzi wa kawaida tu jambo fulani ambalo hajabobea kivile katika jambo hilo
Ukizingatia na maendeleo/mabadiliko ya teknolojia ndo kabisa siku hizi watu vitu vingi wanaenda kwa hao wenye utaalamu katika hatua zile za mwisho tu ambazo zinabidi ufanye hivyo mfano
Salary slip si kama zamani mpaka uende steshnari ukaletewe mbwembwe nyingi yote tu ili upigwe hela- siku hizi unaenda steshnari ni kwajili ya kuprint tu.
Matangazo matokeo na taarifa mbalimbali siyo mpaka uende internet cafe tena kama ilivyokuwa zamani... simujanja ya mtu inamaliza kila kitu saivi.
Sasa binafsi yangu, sifahamu exactly hiyo window inakuwaje lakini kama inawezekana kama mfano wa mambo niliyotaja hapo juu naomba kujuzwa hatua kwa hatua namna ya kupiga window maana mara kwa mara ukipatwa na shida kwenye kompyuta utasikia peleka ukapigiwe window.
Sent using Jamii Forums mobile app