Jasper Enzi Enzi Member Joined Dec 23, 2022 Posts 10 Reaction score 4 Apr 2, 2025 #1 Habarini za Wakati huu wanataaluma. Kama kichwa cha habari kinavyojieleza, naomba kupatiwa uelewa wa kina kuhusu ngazi hii ya elimu hasa katika vyuo viliyopo chini ya NACTVET. Natanguliza shukrani zangu. ππ
Habarini za Wakati huu wanataaluma. Kama kichwa cha habari kinavyojieleza, naomba kupatiwa uelewa wa kina kuhusu ngazi hii ya elimu hasa katika vyuo viliyopo chini ya NACTVET. Natanguliza shukrani zangu. ππ
mbozimbozi kumwitu Senior Member Joined Mar 8, 2025 Posts 156 Reaction score 189 Apr 2, 2025 #2 Ni elimu ya kuongeza maarifa na ujuzi kwa baadhi ya course kwa mtu ambaye amemaliza bachelor degrees.
Ni elimu ya kuongeza maarifa na ujuzi kwa baadhi ya course kwa mtu ambaye amemaliza bachelor degrees.
Ngika90 Member Joined Jan 20, 2019 Posts 40 Reaction score 33 Apr 3, 2025 #3 mbozimbozi kumwitu said: Ni elimu ya kuongeza maarifa na ujuzi kwa baadhi ya course kwa mtu ambaye amemaliza bachelor degrees. Click to expand... Siyo sahihi. Umeelezea Postgraduate Diploma badala ya high diploma.
mbozimbozi kumwitu said: Ni elimu ya kuongeza maarifa na ujuzi kwa baadhi ya course kwa mtu ambaye amemaliza bachelor degrees. Click to expand... Siyo sahihi. Umeelezea Postgraduate Diploma badala ya high diploma.