Nahitaji kujua jambo humu JF jamani

Nahitaji kujua jambo humu JF jamani

6alfabet

JF-Expert Member
Joined
Oct 21, 2013
Posts
389
Reaction score
69
Labda mm sijajua ivi umu ndani kunautaratibu wa members kuktana kma kwnye vikao vya arusi maana kuna watu nataka niwaone
 
Kuna moderator anakaribia kuoa.
Uje kikaoni masantula chanika.
Kikao saa 2 jtatu asubuhi
 
kwani Avatar huzioni?! ............
 
Eboh!!! unataka kutuona kwani tumekuwa TV...!!!

Labda mm sijajua ivi umu ndani kunautaratibu wa members kuktana kma kwnye vikao vya arusi maana kuna watu nataka niwaone
 
Labda mm sijajua ivi umu ndani kunautaratibu wa members kuktana kma kwnye vikao vya arusi maana kuna watu nataka niwaone

ushawamaliza wa facebook na badoo sasa unataka wa JF watakuumbua wengine nu mafia
 
Mh! Na hizi comment zetu
wewe utakuwa usalama wa Taifa nani hapajui MABWEPANDE
 
Back
Top Bottom