Nahitaji kujua jambo humu JF jamani

Nahitaji kujua jambo humu JF jamani

Labda mm sijajua ivi umu ndani kunautaratibu wa members kuktana kma kwnye vikao vya arusi maana kuna watu nataka niwaone

subiri jf party itafanyika mwanza soon. Tutakuwa jembe ni jembe. Kakate tiketi mapema, fast jet
 
Back
Top Bottom