Nahitaji kujua Gharama za printing

dtj

JF-Expert Member
Nov 29, 2014
1,332
1,375
Wanabodi!

Nina mpango wa kuprint jarida (magazine) nahitaji kujua gharama zake zikoje kwa maana ya texture ya karatasi na pia kwa kopi gharama inakuaje!

Nawasilisha.
 
Copy walau 4500, A3 QUALITY YA JUU KABISA, FULL COLOUR

Bado hujaeleweka

Hilo jarida lako lina pages ngapi?
Afu Jarida la A3 (mmmmmmmmmh) sema A4
Labda unatania kwenye copy 4500
 
Bado hujaeleweka

Hilo jarida lako lina pages ngapi?
Afu Jarida la A3 (mmmmmmmmmh) sema A4
Labda unatania kwenye copy 4500
Size; A4
Page; 40
Full color
Copy 4500 ( elfu NNE Mia tano)
 
Wanabodi!

Nina mpango wa kuprint jarida (magazine) nahitaji kujua gharama zake zikoje kwa maana ya texture ya karatasi na pia kwa kopi gharama inakuaje!

Nawasilisha.
Tsh 2500/= full color, free delivery kama upo dar es salaam
 
Wanabodi!

Nina mpango wa kuprint jarida (magazine) nahitaji kujua gharama zake zikoje kwa maana ya texture ya karatasi na pia kwa kopi gharama inakuaje!

Nawasilisha.
Habari yako mkuu
 
Vizuri ni kama akifika ofisini
Utampa bei afu baadae akakwambia anataka vitabu 100
 
Back
Top Bottom