Nahitaji kujua gharama za kupima hormone

Kwanini umefikia kupima Hormones hakuna vipio vya awali kama sperms za mzee baba kama zinamwendo???
 
Daa kweli maisha tumepishana.. Mi siku hiz mpka naogopa kucheza mechi peku!!!!!

Yaan mbegu zangu zimekua na hatar sana akijisahau tu.....nami nikatupia ujue himo..( pregnant).....

Girl wawil wameflash zangu 04:..
.........

Nimetubu sahiv siuz mechi mpka nioe asee:
Yaani maisha kizungumkuti,me nna mzigo hapa sielewi nifanyeje!? aisee nadata zingekua zinahamishikia walah ningemuhamishia mleta mada bureeee

Sent from my SM-A205F using JamiiForums mobile app
 
Habari wanaJF mimi ni mwanamke ambaye matamanio yangu ni kupata mtoto lakini juhudi zinagonga mwamba sasa nahitaji kujua gharama za kupima hormone kama zipo balance au lah!

Pia na gharama za kupima mirija ya uzazi. Ili nijichange nipime nijue tatizo liko wapi

Natanguliza shukran zangu za dhati
Umwolewa au una mchumba tu ?
Kama umeolewa basi zitumie zaidi siku za hatari.

Lakini pia mumeo na e akapime mjue tatizo.

Kama wote mumepima jitahidini sana siku ya hatari ile inayotoka ute uke jitahidi huyo mume akuingilie huku akiwa amepumzika yaani hajatoa shahawa zake kwa muda usiopungua siku mbili mpaka tatu.

Yaani goli likitoka liwe na afya njema.

Nakushauri usiende kupima mirija kwanza ni kipimo kna maumivu jao sio ya kawaida.

JE NDOA YAKO INA MUDA GANI ?

Mana kuna wengine wamekaa mwaka tu miaka miwili mitatu wanalialiaatleast ukae kuanzia miaka minne unaweza kuwaza kupima mirija(haya ni maoni yangu usiyazingatie saana)

Wakati mwingine ni error ndogo ndogo zinaweza pelekea mtu asipate ujauzito.

Wrror hizo zinaweza sababishwa na mke au mume.

Pengine mnakutana siku salama au siku za hatari ambazo mume pengine anatoa sperm ambazo hazidumu muda mrefu hivyo hupelekea kusigana kwa yai n.k

Nenda ilala afya centre pale ipo ilala hyo hospitali kuna daktari wa uzazi pale hssa wanawake jina limenitoka kidogo.

Lakini wana gharama kidogo
 
Unasemea kwa doctor mwaka?
 
Habari wanaJF mimi ni mwanamke ambaye matamanio yangu ni kupata mtoto lakini juhudi zinagonga mwamba sasa nahitaji kujua gharama za kupima hormone kama zipo balance au lah!

Pia na gharama za kupima mirija ya uzazi. Ili nijichange nipime nijue tatizo liko wapi

Natanguliza shukran zangu za dhati
Nakushauri nenda AICC hospital Arusha kuna daktari Dr. Kivuyo anasifika sanaa kwa mambo ya uzazi na pia ni msaada kwa wanawake wengi mnoo

Sina contact no. zake ila ukiwauliza wanawake wengi sana wakiopitia matatizo hayo na mengine wanamfahamu
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom